HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT
March 11, 2025 · 41 min
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.