Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Tanzania jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku nishani za kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey Ikulu chamwino, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025 Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.