HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)
May 01, 2025 · 26 min
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida