HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 TOLEO LA 2023 NA MFUMO WA e-ARDHI JIJINI DODOMA
March 17, 2025 · 51 min
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025 Jijini Dodoma