HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NAMIBIA
March 22, 2025 · 13 min
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah