Episode cover
MHE. RAIS DKT. SAMIA ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: PHOTOGRAPHIC JOURNEY
April 26, 2025 · 21 min

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku nishani za kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey Ikulu chamwino, Dodoma